Dakika 90 zimekamilika katika Fainali ya Kombe la FA CRDB Bank Katika Uwanja wa Tanzanite Babati na Singida Black Stars wamefanikiwa kutinga fainali baa ya kuinyuka Simba SC Kwa bao 3-1.
Yanga ilitinga fainali hiyo baada ya kumfunga JKT kwa bao mbili kwa sifuri katika Uwanja wa Mkwakwani huko Tanga.
